Pages

Saturday, August 5, 2017

JENNIFER LOPEZ IN AFRICNA PRINT # JENNIFER LOPEZE KATIKA VAZI LA KIAFRIKA

How old is Jennifer Lopez? Her age isn't evident in photos of the 40-something actress, who looks forever young. Jennifer Lopez's movies and TV shows are as popular as her songs, but the sexy star also makes news for her style--and her hair. Whether rocking a dress, a bikini or street-style clothing, she knows what looks good on her body (perfected with diet secrets and favorite workout). Her hair color, hairstyles and makeup are often emulated with DIY beauty tutorials. The entrepreneur also designs everything from shoes to bedding and perfume--all while being a busy mom to her kids (who are twins!).

Mwigizaji wa Filamu na Mtangazaji wa Luninga Jennifer Lopez  (40) akiwa bado anamudu kujitunza kwa kutumia vipodozi akifuata maelekezo sahihi ya kwenye mitandao na kuvalia vazi linaendana akiwa kwenye zulia 

BEYONCE IN AFRICAN PRINT # VAZI LA KIAFRIKA

The pieces are from Demestiks New York by Reuben Reuel! Bey is rocking the Nay Nay African Print Shirt And Ramonde Pencil Skirt


Nguo za Kiafrika blausi pamoja na sketi ya kubana kutoka Demestiks New York  zikimpamba mwanamuziki, Beyonce 

Beyonce and hubby Jay Z are a couple that plays together and stays together. Blue Ivy's parents kicked off their On the Run summer tour this week and I don't even need to attend a single date to know that Jayonce are suh-laying it. When it comes to style, fashion, and presentation, Queen Bey,


Beyonce na vazi lilomweka karibu na Jay Z


Friday, May 16, 2014

MISS IFM 2014 LILIAN TIMOTH

Mshindi wa Kitongji cha Chuo cha Usimamizi wa Fedha Miss IFM 2014, Lilian Timoth akipungia mashabiki wa Ulimbwende baada ya kutwaa taji hilo katika kinyanganyiro kilichofanyika jijini Dar es Salaam alfajiri ya jana.  Kulia ni msindi wa pili, Evanaice Muganga na kushoto ni mshindi wa tatu, Lilian Josephat
 RED CAPET
 Mambo ya Tatuu
 Kitovu
 Mambo ya Dodo
 Mpasuo ni noma

 Mtoto wa Kike Tatuuuuuuuu
 Ukitaka flat screen au ............
Tulifika Babueee
 Peplam kati
 Kijungu hutia hamasa
 mchuchumia powaaaaaa
 Mambo ya Zebra
 Tuliwakilisha pia
 Wingi vipi

 
 Rasta ni ujanja wako
 Mambo ya Kinyozi
 Wingi hakuna la zamani na la sasa



 Hata sisi paia tulikuwepo
 Bling-bling na ..........
 Kiduku powaaaaa



 Nywele ni mapangilio wa msusi tu
 Staili ipi kali hapa ya nywele?

 Tumedata na kamba ya unywele

 Kitu cha asili babu katika kuntunza nywele
Mimi na chana tu nywele safiiii


 Kamba hii kichwani wala siyo mzingo Baba

 Nywele ya pendeza kwa mkia wa Farasi
 Kiwingi simpo
 Na mimi najua kujali nywele Dada



 Mambo ya mawigi
Kubana nywele ndio mpango mzima Baba

 nywele na mtindo wa hondo hondo





 Chungu staili pia ni powa






 Mambo  ya Rasta ni wewe tu

 Taratibu Kijungu changau

 Hina na Nywele ni kana uji na Mgonjwa
m
Laurence Marsha akitoa zawadi kwa Miss IFM 2014

 
Prezzo na hina utamtaka