Pages

Tuesday, June 4, 2013

Wema Sepetu Jaji Mkuu Miss Reds Dar City Centre

 
Mshindi wa Redd's Dar City Center 2013, Alice Isack


  Tatoooooo za Wema
                                     
Wema umeona


Wema, njoo tu



Mambo ya V kifuani

Mambo ya V mapajani



Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria Kimaro akiwa katika red-carpet

 

Rio Paul na

 
Miss Tanzania 1999,Hoyce Temu ambaye ni




Majaji wa shindano wakifuatilia Vigezo

 Redd's Miss Tanzania 2012,Brigitte Alfred

Mshindi wa Taji la Top Model Vodacom Miss Tanzania 2011, Mwajabu Juma

 
Top five

 
Jaji Mkuu Wema Sepetu, Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu akitangaza tano bora


 Mmoja wa Majiji wa shindano, Hoyce Temu ambaye ni Miss Tanzania 1999, (kulia) akiwauliza maswali warembo walioingia 5 bora
 
Redd's Miss Dar City Center 2012, Matilda Martin akiaga kabla ya kukabidhi taji

 
Jaji Mkuu Wema Sepetu, Miss Tanzania mwaka 2006 na muigizaji wa filamu akitaja mshindi


Wadau wa Ulimbwenda wakishuhudia

 
Redd's Miss Dar City Center 2012, Matilda Martin  akikabidhi taji kwa Alice Isack







 
Mwanamitindo Rio Paul na Mlimbwende wa Dar  City Centre 2013





 
Walimbwande wakipewa zawadi zao


 
Mshindi wa Redd's Dar City Center, Alice Isack (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Clarah Paul (kulia) na mshindi wa tatu, Fatma Hussein (kushoto) baada ya kukabidhiwa zawadi zao.