Pages

Friday, May 16, 2014

MISS IFM 2014 LILIAN TIMOTH

Mshindi wa Kitongji cha Chuo cha Usimamizi wa Fedha Miss IFM 2014, Lilian Timoth akipungia mashabiki wa Ulimbwende baada ya kutwaa taji hilo katika kinyanganyiro kilichofanyika jijini Dar es Salaam alfajiri ya jana.  Kulia ni msindi wa pili, Evanaice Muganga na kushoto ni mshindi wa tatu, Lilian Josephat
 RED CAPET
 Mambo ya Tatuu
 Kitovu
 Mambo ya Dodo
 Mpasuo ni noma

 Mtoto wa Kike Tatuuuuuuuu
 Ukitaka flat screen au ............
Tulifika Babueee
 Peplam kati
 Kijungu hutia hamasa
 mchuchumia powaaaaaa
 Mambo ya Zebra
 Tuliwakilisha pia
 Wingi vipi

 
 Rasta ni ujanja wako
 Mambo ya Kinyozi
 Wingi hakuna la zamani na la sasa



 Hata sisi paia tulikuwepo
 Bling-bling na ..........
 Kiduku powaaaaa



 Nywele ni mapangilio wa msusi tu
 Staili ipi kali hapa ya nywele?

 Tumedata na kamba ya unywele

 Kitu cha asili babu katika kuntunza nywele
Mimi na chana tu nywele safiiii


 Kamba hii kichwani wala siyo mzingo Baba

 Nywele ya pendeza kwa mkia wa Farasi
 Kiwingi simpo
 Na mimi najua kujali nywele Dada



 Mambo ya mawigi
Kubana nywele ndio mpango mzima Baba

 nywele na mtindo wa hondo hondo





 Chungu staili pia ni powa






 Mambo  ya Rasta ni wewe tu

 Taratibu Kijungu changau

 Hina na Nywele ni kana uji na Mgonjwa
m
Laurence Marsha akitoa zawadi kwa Miss IFM 2014

 
Prezzo na hina utamtaka