Pages

Monday, March 26, 2012

Millen Happiness Magese asaka wanamtindo watakao shiriki S A Fashion Week





 
                                      Washiriki wakijisajili kwa akijili ya kuwania nafasi


                                                           Baadhi ya waratibu wa zoezi

                                                        Washiriki wakingojea kwa shauku



                                  Aminat Ayinde kutoka Marekani akielezea vigezo vya ushiriki

 Millen na Aminat

  Aminat, Mustafa, Millene, na Michell


        Millen akiwaeleza nama ya kushiriki


                                                                 Mustafa na Aminat
Doreen, Mustafa, Aminat na Maadam Rita

Doreen,  Aminat na Maadam Rita

Majaji wakiamza kazi

                                                    Baadhi ya Washiriki wa kiume

     Washiriki wakijipanaga


Lucy akipata maelekezo


Kweli naenda Sauzi do!

Jamani usikate tamaa


Majaji wakielekeza

Fainali ya Wadada


                Anastazia akijipanga kuchukua nafasika katika steji ya mwisho mwisho

Jamila akizungumza na Millen
Millen akijiandaa kutangaza alichaguliwa


Congratulation you our winner!

Aminat akielekeza Top 5

Natangaza Mshindi ni..........................


Washindi na Majaji

                                          Asha akimwambia Rita Mmechagua vizuri

 Victor, Millen na Bernard

Hawa ndiyo changu letu, Victoria, Millen na Anastazia



Jamani asante sana